Thursday, September 20, 2012

How small your bathroom is?

Usafi ni usafi tuuu, haijalishi udogo wa bafu/choo, hii isiwe ni sababu ya kua na bafu chafu.... mfano hapo juuu

1 comment:

  1. uchafu kupenda jamani. mtunze nyumba zenu jamani, kwa wale tunaokaa kwetu tupende kwetu jamani. usafi wa vyooni ni muhimu. hivi choo kikiwa safi halafu unaenda kuoga unajisikiaje si raha jamn au nasema wrong? usafi muhimu jamani tubadilike.

    ReplyDelete