Wednesday, September 5, 2012

Garden Designs.....
Hizi ni baadhi ya garden ambazo tunaweza kuwanazo kwenye nyumba zetu, ingawa asilimia kubwa ya watu hua wanaona kua garden ni kupanda tu majani na maua, jamani garden ni gharama, kuanzia matayarisho, kupanda na kuiangalia, kumbuka zamani unaweza kwenda kwa jirani ama ndugu ukaona maua, majani mazuri na ukamuomba akakupa, sasa hivi unampata nani atakupa bure, kila kitu kinauzwa ndio sasa ujue kua ni gharama, maua, mbolea etc vyote vyauzwa.

Hivyo basi ninachoweza kushauri ni kwamba tusiwe tunadharau kazi zao, na kuwalipa vile ambavyo mmekubaliana.(naomba ijulikane kua sijasema kwa ubaya, ila huko ninakotembea na kuongea na wahusika wa garden ndio wameniomba niliongelee hili)


1 comment:

  1. napenda bustani kuliko maelezo,nawezatumia ata laki 5 kupamba bustani tu lol

    ReplyDelete