Wednesday, September 5, 2012

Mapambo ya kiafrika kwenye nyumba zetu.......

 Hiki ni chumba kimoja, kwa wale wanaokaa chumba kimoja basi huu ni mfano wa kuigwa......
 Sehemu za chakula unaweza kuweka kabati dogo na mapambo kiasi, sio lazima ukaweka kabati la vyombo, una jiko kubwa basi, weka vyombo jikoni na kwa mpangilio mzuri
 Sebule ilivyotulia, hakuna mambo mengi, ama picha nyingi ukutani......
 Picha zinahitaji umakini, kwanza kwenye kuchagua, na kutundika ukutani, ili kuleta muonekano mzuri...
Waweza changanya fanicha kama tuonavyo.......rangi pia z a mito ya mapambo,

No comments:

Post a Comment