Thursday, September 20, 2012

Color combination for every room....


Hizi ni baadhi ya rangi, ambazo zitakusaidia ipi inaendana na ipi, ama utachanganya na ipi ili zipendeze....
cha kufanya, unaweza ukachagua rangi ya ukuta, ya pazia, fanicha, etc.....


Kumbuka hapa kwetu Tanzania tuna makampuni mengi ya rangi... sasa waweza pata huko..No comments:

Post a Comment