Tuesday, September 11, 2012

Viatu.....Kuna baadhi ya wadau waliniuliza na kunisifia viatu nilivyovaa siku ya ubatizo, nashukuru sana, ninapenda kuchukua nafasi hii kuwaelekeza duka nililonunua viatu vyangu, na hivyo hapo juu ni baadhi tuu ya viatu walivyonavyo.....

Duka liko kinondoni makaburini, kama unatokea town basi ingia kulia kama unakwenda kwa john fedha - bamboo bar mwanzoni . kuna maduka yako mkono wa kulia, duka namba 6 limeandikwa TERRYTEVIS ama piga simu namba 0715 - 350912.

Kizuri kula na wenzio..........

2 comments:

  1. Hi Siylvia!hope all is well..mimi naitwa lilian wa Arusha na ni mdau wa blog yetu hii ya homez decor..napenda kuchukua nafasi hii binafsi kukupongeza kwa kazi yako nzuri ya kutuelimisha kuhusu maswala ya usafi na mpangilio mzima wa nyumba zetu..kwa kweli nanufaika sana na blog hii na kila mara napata wasaa wa kujifunza jambo jipya..hongera sana kwa kutuelimisha..
    kila la heri, na Mungu akutangulie kwa kila jambo unalofanya/panga kufanya..

    ReplyDelete
  2. Asante sana mdau wangu....na nitaendelea kuwapa vitu vizuri siku hadi siku....

    ReplyDelete