Wednesday, September 19, 2012

L-shape metal sofa.....

 Hii ndio sofa ya L-shape inavyoonekana na inavyokua ikiwa tayari.....sasa inategemea wewe unapenda rangi gani za vitambaa tukushonee kwa ajili ya covers.....
 Upande wa kwanza wa L-shape
 Upande wa pili wa L-shape
 Nikiwa nimepose baada ya ku set sofa......
Ukifanya kazi nzuri, na mteja akaipenda, unakua na amani ......

Sofa hii ya L-shape ni shs. 1 million..... usafiri ni juu ya mteja..... ninachofanya mimi kuna gari ambalo tunalitumia mara kwa mara na ni waaminiifu. sasa wakikuletea mzigo unalipa usafiri, na hii ninasaidia ili msipate usumbufu wa kutafuta usafiri.......

NB: picha naona hazionekani vema kama nilipiga kwa kutumia Ipad na giza lilikua limeingia... kazi hii ilikua ni jana..... naomba mniwie radhi....

No comments:

Post a Comment