Thursday, January 28, 2010

Naomba kuuliza swali!!!

Unapogundua kwamba vitu nyumbani kwako kwa upande wa vyakula vimekwisha na unahitaji kwenda kununua, unafanyaje? Yaani unafanya maandalizi gani????????

4 comments:

  1. unapogundua vitu vya nyumbani vimeisha,
    kwanza unatakiwa uende store na kwenye cupboards na kuanza stork taking. yani unaandika vile vyote amavyo vimeisha na vile ambavyo vina karibia kuisha na vile amavyo vipo. baada ya hapo unapiga mahesabu ni kiasi geni cha kila kitu unachotaka kununua. then unacategorise kutokana na vinapopatikana kama ni sokoni, supermarket, herbs store, butcher etc. then of you go with you shopping list.
    it makes it convinient and not easy to forget something.

    ReplyDelete
  2. Naugana na mtoa comment hapo juu! tena inabidi kama ni dada unamsisitiza awe anakuambia kitu kiki karibia kuisha maana sometimes unaweza ukapata matumizi ya juu ya ulivyo budget kikaishia mda ambao si convenient kukipata.

    ReplyDelete
  3. yeah hapo umenena mdau.unajua kila jambo linatakiwa kukaa na kutulia na kupangwa,usipo kaa na kuandika na kujua nini cha kununu na wapi ni kzi mara nne na lazma utasahau vingine.

    ReplyDelete
  4. Vitu vikiisha unavinote down na unakwenda shoping...

    ReplyDelete