Wednesday, September 23, 2009

Wapenzi wa rangi ya Blue

Mpaka bathroom blue yapendeza



Hapa  blue imepoozwa na makochi ya nadhani hii ni off white na picha ya ukutani-nimeipenda

Chumba hiki katumia hiyo blue iliokoa ila kwa kuipooza kaweka picha yenye rangi ya neutral kipooza. kama nilivyosema rangi zina category nyingi sana.

4 comments:

  1. honey kiukweli nafurahi sana kila ninapotembelea hii sait tangu nilipo ambiwana rafiki yangu kuhusu hii saity nimependa sana hivi vitanda lakini hakuna pungufu kidogo maana nataka kutengenezewa sasa napata kama ninavyokiona hapa jamani maana inahitajika kama ninavyokiona hiyo bei ulioiorodhesha ni ya kila kitu kama picha inavyoonekana

    ReplyDelete
  2. Asante sana kwa kutembelea blog yangu na karibu kila mara. kuhusu bei fika dukani tutaongea hapa homez deco hakishindikani kitu kwakweli.Sylvia-homezdeco

    ReplyDelete
  3. Hellow!!!
    sipati picha ni nzuri sana hongera sana jitahidi sana kuwa update sawa na wakati mwingine weka vitu vya asili ya Tz au onyesha haswa hali halisi ya mtanzania anatakiwakuishi vp na umshauri hata kama yupo Tandale apambe vp ili aendane na hali ya dunia maana naona kama ni ya watu mambo safi tuuuu au wasemaje? Canal

    ReplyDelete
  4. hi my fun! asante kwa ushauri, kiukweli nimelenga watu wa hali zote, hata kwa wanaoishi tandale pia wanaweza ku afford, ila nitalishughulikia wazo lako asante sanaaaa. endelea kuwa nami na nakaribisha mawazo zaidi kwani hayo husaidia kujenga.Sylvia-homez deco.

    ReplyDelete