Wednesday, September 23, 2009

Color Theory (nimekosa kiswahili fasaha)



Nimeamua kuchukua fursa hii kuelezea rangi kwani nimekuwa nikipata maswali mengi kuhusiana na rangi gani inafaa kuchanganyia ama nitaitumia wapi etc.

Kwanza kabisa tuna rangi 12 na zimegawanyika, kila rangi imejigawanya ktk sehemu 24 yaani kuanzia iliyokoza mpaka iliyopoa.

Kuna makundi mengi tuu ya rangi ila leo nitazungumzia makundi 3

Nayo ni:

  • Warm colors
  • Cool colors
  • Neautral colors

Ukiangalia picha hizi hapo juu itakuonyesha makundi hayo.

No comments:

Post a Comment