Friday, September 18, 2009

Hizi zaitwa bottle holder wajameni zingine ni za kupigilia ukutani zingine ni za kusimama

Hizi zote ni bottle holder inategemea na matumizi yako. Na ninapenda kuwafahamisha kuwa ninawatafutia  mtu anayeweza kutengeneza vitu vya metal designs nzuri kama vitanda, meza, etc. Nitawajaulisha hivi karibuni.





3 comments:

  1. Yupo ma love anaitwa Stanley iz good Tel No 0713 290643 yuko ile njia kama unaenda Rose Garden Mumiii utapenda Bed zake ,Shoe Racks etc etc

    ReplyDelete
  2. Thanks a lot, umenisaidia sana sasa ninachofanya kwa sasa ni kuwa ninatafuta mafundi wa hizi metal designs then niongee nao kuwa kama wanaweza kunipa discount kwa kila mteja nitakayempelekea, na wateja watakuwa na sticker kutoka dukani kwangu na hii inasaidia kujua kama wametoka kwangu. ( sylvia-homez deco)

    ReplyDelete
  3. Thanx gal 4 sharing wit us hivi vitu.Napenda sana hii blog yako.Good work.

    ReplyDelete