
hivi hapo juu ni small flower verse Tsh. @12,500/= ila hutumika pia kuwekea vitu vidogo vodogo kama hereni,pete,cheni,maofisini hutumika pia kuwekea stationery mezani kweli hupendeza sanaaaaa


Hizi flower verseTsh. 50,000/= kama bakuli na hizo unazozizoona kama mipira ni urembo wa mezaniTsh.@2000/=


Flower verse za round ndogo ni Tsh.25,000/= Hiyo nyeupe Ths.28,000/= nyekundu ya shape ya moyo Tsh.35,000/= Round shape kubwa Tsh.35.000/=

No comments:
Post a Comment