Napenda kuwaarifu kuwa, weekend hii sitakuwako kuwaletea makala, kwani ninafanya maandalizi ya kuandaa duka langu litakalokuwa Kinondoni manyanya karibu na petrol station ya Mwanamboka baada ya wanakouza fridge used jengo linalofuata kuna frem mpya za maduka ndio hapo linapatikana.
Duka linaitwa KREATIVE HOMEZ (homez deco).
Duka hili ni kwa ajili yetu sote ya kuweka mandhali nzuri na ya kuvutia kwenye nyumba zetu na sehemu zinazotuzunguka.
Duka litafunguliwa rasmi siku ya jumatatu tarehe 14/09/2009.
Muda wa kazi ni kuanzia saa 9:00am - 8:00pm siku za kazi
Siku za weekend ni kuanzia 10:00am - 8:00pm
Joke: kuhusu party ya ufunguzi mtajulishwa maana najua ntaulizwa hahahhahhaa
KARIBUNI SANAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!
jamani mbona uko busy na duka tuu humu unatusahau? napenda picha jamani za deco mbali mbali km jiko. toilets. sitting rum nk
ReplyDeletemambo dada,
ReplyDeletenaomba ushauri mie nimepanga nyumba ina vyumba vidogo sana kama futi 10 kwa 8 na sebule ni ndogo vile vile. nahiji msaada ni vitu gani niweke au rangi gani nipake angalau space isionekane ndogo sana.
tumekumiss jamani rudi basi......
Mambo! Ninawakumbuka funs wangu wotee sio kama nimewasahau. Ni kuwa nawaandalia mambo mazuri.
ReplyDeleteComment ya pili ni kuwa, Ninahitaji maelezo zaidi kwani yako yahajajitosheleza, ninahitaji kujua kama una familia, nyumba ina vyumba vingapi, ni chumba gani wakitumia sana,wingi wa fanicha zako, ni za rangi gani, etc. Kuhusu rangi ni kuwa vyumba vidogo tunashauri kupakwe rangi ambazo ni bright hii husaiida kukuza chumba. Tafadhali karibu sana dukani kwangu siku ya jumamosi hii nitakuwepo kuanzia saaa tano asubuhi- kama uko Dar. Sylvia (Homez deco)Tel:0713 - 920565
OK THANKS TWAFURAHI KM WATUKUMBUKA.yeah najua unaandaa mambo matamu na mazuri.tutakuja dukani kwako jmosi mungu akipenda, ila na hapa pia ututupie picha za dukani plizzzzzzzzzzzzzz tuone unanini na nini na km unaweza kudisplay na bei itakua poa sanaa.mie napenda sana decor jamani
ReplyDelete