Thursday, September 24, 2009

Nimeguswa. Na vinapatikana kwa kutoa order homez deco. Karibuni

Designs zipo nyingi sanaaaaa, ninajitahidi kuwaletea kadri niwezavyo vitanda hivi vinapatikana nimepata designer wa metal design ambaye hufanya hii kazi sasa basi kwa kupitia kwangu waweza pata discount. Bei nizitoazo, discount included inachukua siku 5 kupata mzigo wako baada ya kutoa order. tuwasiliane kwa maelezo zaidi.

Bei ni Tshs.350,000/=

Bei ni Tshs.450,000/=
Bei ni Tsh.350,000/=
Bei ni Tsh.350,000/=
Bei ni Tshs.350,000/=

5 comments:

  1. Mambo Sylvia,
    Nimependa sana bed metal designs, and i real wish to have one. Lakini pia huyo designer wako anaweza kututengenezea dressing table pia za metal. Kama anaweza je itakuwa inacost kama shilingi ngapi? Na kama utaweza kutuwekea na picha zake. All in all good work and keep it up!

    ReplyDelete
  2. Thanks a lot. Metal designer wangu anaweza kutengeneza vitu vyote vya metal but as long as ni metal only. Nitawaletea pia dressing table photos and it's design,mchague.Karibuni sanaa. (Sylvia-homezdeco)

    ReplyDelete
  3. samahani mimi sijaelewa,unaposema 350,000,means ni kitanda kilichokamilika na godoro?

    ReplyDelete
  4. how would i get in touch with you kama nahitaji...? mimi ningependa ila kwa next month nifanyaje... how do i press the order nikiwa tayari..?

    ReplyDelete
  5. 1.Hi, Bei ya kitanda ni kitanda kitupu bila godoro,shuka wala mito. Ni kitanda chenyewe.

    2. metal designs zinapatikana kwa kuorder, just call no.0713-920565 na fika dukani kinondoni manyanya karibu na bp petrol station upande ule ule kuna maduka mapya na kuna saloon kubwa ya kiume ndio hapo.unatoa advance ya hela then after 5-7 days unapata mzigo wako.karibu sanaaaaa. Sylvia (homezdeco)

    ReplyDelete