Wednesday, September 9, 2009

Rangi yoyote ikipangiliwa inapendeza (uoga wa rangi tuache)





1 comment:

  1. kwanza hongeza kwa creativity ulionayo nakupongeza kwa hilo lakini mbona unatusahau sisi kaka zako unajua nimejaribu kutathmini hivi vyumba off coz ni vizuri sana lakini jaribu kuonesha na bachelors rooms utusaidie kaka zako unajua wanaume wengi sio tunapenda kua rough ila hua tunakosa ideas wapi pa kuanza na support kubwa tunategemea kwenu kwa wale walio na girl friend wao au wake wabunifu kama wewe sasa mimi nakipenda sana chumba changu na nimejaribu kukipamba kadri niwezavyo lakini sioni kikinivutia mybe ukinionesha picha mbili tatu utakua umenisaidia mimi na wengine wenye creative kama yangu au vipi nategemea ushirikiani wako asante

    jokes:umeolewa kwani maana sipati picha kwa huyo mumeo au room ya boy wako ikoje na kama bado naomba tu mimi nikuwahi labda utatimiza malengo yangu mh hehe may be yes or no ok bye

    ReplyDelete