Tuesday, September 29, 2009

Sale Sale Sale!!!!!

Karibuni dukani sale bado inaendelea. duka liko kinondoni manyanya karibu na petrol station ya pb mwanamboka upande ule ule wa sheli mbele kuna maduka mapya kuna saloon kubwa ya kiume ndio hapo. KARIBUNI SANAAAAA

7 comments:

  1. Nitapita week end inshallah!
    I hope bei sio za kukimbiza...

    ReplyDelete
  2. karibu sanaaaa, hapana bei za kitanzania kabisaaaaa Sylvia-homezdeco

    ReplyDelete
  3. ungeweka bei ingekuw better mtu ukija unajua unakuja na sh ngapi

    ReplyDelete
  4. Maua ni ya natural au artificial? ungeweka bei ya kila ua ingependeza zaidi

    ReplyDelete
  5. me jana nimepita hapo nimepotea. nimefika kabisa pale petrol station ya BPnikaenda pale kwenye salon ya kiume nawauliza ila hawapajui? sasa nifanyaje ilikua samoja ucku,nilinuna kam a nini hamna kbao au? hiyo salon yaitwajwe? leo nakuja tena mitaa hiyo

    ReplyDelete
  6. jamani pole sana kwa kupotea, hiyo saloon inaitwa kavungwa duka liko ndani lina rangi ya njano ndani. sasa hivi ndio ninaandaa bango wapendwa wangu. sylvia-homezdeco

    ReplyDelete
  7. Mу spouse and I stumbled over here comіng from a diffеrеnt ρage and thought
    I may as well сheck thіngs out. I like ωhat ӏ see so
    noω i аm followіng you. Looκ forward to finԁing out about your web pаge again.


    Look at my wеbsite ... Online Payday Oan
    Here is my web blog - Payday Loans Online

    ReplyDelete