Wednesday, September 9, 2009

Chati ya rangi Na jinsi ya kuzipangilia (ukutani, mapambo etc)

Rangi zilizo mstari wa kwanza ni main colors . Zinazofuata ni za kuchanganyia kwahiyo unachagua nyumba yako iwe na rangi zilizotulia ama za kuchangamka. eg. waweza kuwa na ukuta ukaupaka rangi nyekundu, makochi yako yakawa green, ama kochi lako ni rangi ya njano, ukatupia mito ya papo na kukapendeza. NDIO MAANA NASISITIZA TUSIWE WAOGA WA KUCHEZA NA RANGI. Ukijiamini  unaweza kucheza na rangi.




2 comments:

  1. ant naomba unieleweshe hizi rangi unazozisema hapa ni nyingi sana sasa si naweza kuzichanganya natakiwa kujua rangi ipi inaingiliana na nyingine sio lakini unaweza kuchanganya ukajikuta unatoa rangi usiyotarajia nilipewa hii saiti na rafiki yangu moja anaitwa mwafrika hii ni nick name yake ila yeye anaitwa mosses namkubali sana sisi wakenya hakuna haya wanatunga tu na hay mavuluu inatoa rangi mbaya sana ila kwa hii mbona utaokoa mtu nyingi sana sawa mam

    ReplyDelete
  2. hi habari ya asubuhi nimefurahi sana baada ya utambulisho wako hapo juu kumbe ni kreative homez sasa mimi na swali eti hizo rangi za vyumbani unaziuza nazo au maana naona kama kuna mchanganyiko fulani ambao sio wa kawaida na unaohitaji utaalam zaidi naweza kupata maelekezo kidogo mama kreative na je hizi bidhaa zako is from where???????????

    ReplyDelete