Tuesday, September 22, 2009

Karibuni dukani

Habari za idd na weekend kwa ujumla.  Napenda kuwajulisha kuwa duka liko tayari kwa ajili yenu karibuni sanaaaa, nimejitahidi kuchukua pictures za dukani na vitu vilivyoko.

Na kwa kuwakaribisha basi napenda kuchukua nafasi hii kuwajulisha kuwa ninafanya sale ya vitu vyoooote dukani.

Hii ni kweli kabisaaaaa.

Fika ujioneeeeee

KARIBUNI

1 comment:

  1. Hi dear
    Achana na wazushi wanoleta mambo yasiyokuwa ya maendeleo. Tafadhali endelea kutumegea sehemu ya utaalamu wako kwa mabo ya home decorations.

    Pia nakushauri kama inawezekana uwe unaweka bei ya items unazozionyesha za dukani kwako. Kwa mfano mi nimependa hizo ceremic verse ila bei ndo sijui na uchumi nao mdogo nisije nikaja dukani nikapata shinikizo bure, kumbuka kuwa price inaweza ikatuvuta wengi. At least unaweza kusema prices zina rank kwenye .... mpaka .....

    Ni hayo tu

    ReplyDelete