Tuesday, September 22, 2009

inasikitishaaaaa!!!!

Naomba kutoa onyo, kwamba blog hiii ni ya keeleweshana na ninajua sio woteee wanaopenda maendeleo ya wenzao mimi huwa ninawaaita ni waswahili na wanaokatisha tamaaa, kweli kwa mwendo huu tutaendeleea kweli jamani? Ninachoweza kusema ni kuwa nimeamua kuungana na watanzania wenzangu na duniani kwa ujumla na wanablog wenzangu, kueleweshana kwenye mambo ya home decoration  na kadhilika.  

Funs wangu tusaidiane kwa hili, kwani kuna baadhi ya watu hupenda kuharibu na si kujenga. Ila ninachotaka kusema ni kuwa mimi ninaelimisha na nitaendelea kuelimisha na sio vinginevyo na sina ubaya na mtu yeyote yule.

Nimesikitishwa na watu wengine wanaoandika ujinga, matusi, na vitisho kwenye blog na kwenye sms. Ustaarabu ni kitu cha bure. huko ni KUHARIBIANA NA MIMI SIJALI KWANI HAKUNA KOSA NIFANYALO NA SINA UBAYA NA MTU YEYOTE.

4 comments:

  1. dada mi nakupa big up sana kwanza kwa kuanzisha blog nzuri kwa ajili ya kutusaidia kupendezesha nyumba hata vyumba vyetu,KAZI NZURI....

    sasa nikirudi kwenye topic,achana na hao ma HATER,hawana la maana la kufanya ndio maana kazi ni kutukana tu watu......wivu mbaya jamani na ukiona mtu hapendi maendeleo ya mwenzie ni WIVU tu ndio unaomsumbua na si kitu kingine

    achana nao dada we endelea tu kutupa mambo mazuri na inshalah! Mola atakubariki,na wala usitishike na hao wasio na kazi za kufanya.

    KEEP IT UP SISTA

    ReplyDelete
  2. Asante sanaaaa. Mimi ninaendelea kuwaletea vitu vizuri tena ninashukuru kuwa wananipa changamoto na moyo zaidi wa kufanya kazi, na sio kama watakavyotarajia kuwa nitavunjika moyo.

    Thanks again my funs-Sylvia(homezdeco)

    ReplyDelete
  3. Dada achana nao, wengi hawana mbinu za kuona mbali na kufikiria juu ya pua zao hivo wakiona mtu una mawazo mapana lazima waumie roho zao.
    Pili nimependa sana vitanda vyako, viko makini sana and i would be visiting you soon. Kwa sasa niko huku umangani na i expect kuwa dar by end of Oct. Je kuna uwezekano nikalipia na pesa ya usafiri then mkaarrange kunisafirishia hadi mwanza?

    ReplyDelete
  4. inawezekana kukusafirishia na kama ulivyosema gharama za usafirishaji itakuwa ni juu yako. karibu sanaaa Dar.Sylvia-homez deco.

    ReplyDelete