Friday, September 25, 2009

More beds karibuni

Bei Tsh.650,000/=
Bei Tsh.330,000/=

Bei 450,000/=


Bei Tsh.380,000/=



Kitanda bei Tsh.400,000/= Dressing table inakuwa na kiti chake300,000/= bedside table 1 ni 110,000/=




6 comments:

  1. hizo bedside table ni 150,000/= kwa zote au kila moja? na kutoa pesa nusu inawezekana.?

    ReplyDelete
  2. Bed side table ni kwa moja ndio 150,000/= na inawezekana kulipia kwa nusu nusu. karibu. Sylvia(homezdeco)

    ReplyDelete
  3. sylvia hongera sana kwa kazi unayoifanya lakini naomba nikuulize swali hivi nikitoa hizo laki kadhaa napata exactly kitanda ninachokiona hapo kwenye picha maana kuna watu wakiridhika na kitu kutoa hela kwao sio inshu so kama nikitoa hela napata kitanda kama ninavyoona hapo juu??????

    ReplyDelete
  4. Asante sana. ninapenda kukuhakikishia kitanda ama kitu utakacho kihitaji utakipata kama unavyokiona hapo. shaka ondoa. karibu sana Sylvia-homezdeco.

    ReplyDelete
  5. habari ya kazi,nimependa hivyo vitanda hasa kitanda cha 330,000 na 380,000 je nitapata na magodoro au ni vitanda tu? pia kama nipo Mbeya, Mwanza,au Arusha nitavipataje? nategemea kuhamishwa kati ya jiyo mikoa so nilikuwa nahitaji kujua kabla sijaja kununua na pia je usafiri utakuwepo wa kusafirisha katika hiyo mikoa niliyoitaja? vipi mafundi nitawapata? napatikana katika Email ifuatayo,kuk20032002@yahoo.com

    ReplyDelete
  6. sylvia namba yako tafadhali...rebecca

    ReplyDelete