Friday, September 11, 2009

Vinapatikana hapa hapa TZ (bachelor's room)

1 comment:

  1. jamani mimi ni kijana ninaekipenda sana chumba changu lakini vitu nilivyo nayo ni local mno hata hivi vitanda vya mninga vinamaliza sana magodoro ila hiki cha chuma hata ukilala mgongo unarilax kwa kweli nimekipenda hiki kitanda nataka kujua cost yake nitakuja kutembelea hapo homez deco shop kwa kufuata address ya hapo juu mimi napatikana siku za wikiend

    ReplyDelete