Friday, September 4, 2009

Comments

Ndugu wadau asante kwa comments zenu kwani mnanisaidia sanaa. Naomba kuwahakikishia kuwa ninazifanyia kazi comments zenu, na msiache kuniletea aidia zenu, kwa kufanya hivi tutakuwa tunasaidiana sanaaa.

Hii blog ndio kwanza imeanza na nina mikakati mingi kweli ya kutusaidia mazingira yetu, kwa sasa kuna program naziandaa zikiwa tayari nitawajulisha ila kwa dondoo ya baadhi ya hizo program, niko mbioni kuanzisha services za:

  1. Kutengeneza garden na kuihudumia
  2. Kudecorate nyumba
  3. Kupamba sherehe mbali mbali
  4. Kua arrange furnitures majumbani na maofisini.

Hayo ni baadhi tuu ya mambo ninayopanga kuyafanya, inahitaji kujipanga vizuri ili nisije nika waboa wadau wangu, na vitu vizuri havihitaji haraka. Endeleeni kuniletea maoni ya nini kifanyike nami nitakifanyia kazi. KWANGU HAKUNA KINACHOSHINDIKANA KWA HUU UPANDE WA HOMES DECORATIONS.

Shukrani kwa funs wangu woteeeeee!!!!

1 comment:

  1. Hey Simo.......Good.. Good .. Good.
    yaani nimefurahi sana kwa harakati zako za kutaka kujikomboa na umaskini. Nitakutumia maoni mengi na maushauri mengi nitakapokaa chini na kutafakari vizuri biashara hii.. I wapo ni watu wengi wanapamba na kadhalika,bado kuna nafasi ya mafanikio kwa mtu anayeanza manake unakuwa unajua what the competition is already doing and all u have to do is just to add here and subtract there it product yako iwe better that the competitions products.....Love u sylvia..UNCLE SAM.

    ReplyDelete