Thursday, August 27, 2009

Henga za bafuni

1 comment:

  1. mimi ni mmoja ya watu ambao napenda sana mazingira yangu,
    yaani kila ninapokuwa nataka pawe pasafi pakupendeza ikiwa chooni, chumban jikoni nje yaani ndani ya geti langu hata nje ya geti,kwa uwezo wa hela yangu.
    sasa ushauri wangu ungeweza kutafuta anuwani za mafundi wanaokarabati hasa jiko,nje ndani ya geti,nje ya geti kwa kupanda mauwa au vinginevyo na chooni au nyumba zima wale wenye ujuzi wa juu na chini na bei zake na pia picha.itulahisishie wapenda mazingira,
    Na hongera sana kwa kuweza kutuwezesha na kutuonyesha jinsi nzuri ya kuweka mazingira,
    ila pia ungeonyesha na upangaji nguo kabatini maana mie binafsi nimeshaanza kusahau sahau inakuwa shida sana sasa. Asante nimependa sana web yako jitahidi mama au kaza buti

    ReplyDelete