Wednesday, June 20, 2012

Site ya Kigamboni....


Sink kama linavyoonekana hapa juuu...napenda kushauri kua kwenye sinks, muweke kabati, kwani inakusaidia sana kuhifadhi vitu vya bafuni na kukaonekana kusafi muda wote, vitu kama toiet paper, sabuni za vyooni etc....

Bafu hiloooooo....

Jiko nalo haliko nyuma kabisaaa.....unajua ukijiamini n kujua unapenda nini, na kufuatilia majarida mbali mbali, ama kwenye mitandao, basi unaweza...decorate nyumba yako na ikapendeza.... pia....wenye nyumba hawa waliamua kusafiri wenyewe, kufuata mzigo, yaani kuanzia, grill, miango, jiko, tiles etc, china na wanasema waliokoa pesa kwa kiasi kikubwa tuuu.....

Hii ndio nguzo ilivyonakshiwa......na nilichopenda, layer yake ni kubwa, yaani hawajabania kabisaaa........


Hii ukutani sio tiles, ni design ambayo wataalamu wanachanganya ndio wanaweka ukutani, ukiingalia kwa karibu, ni kama undongo hivi.......imekaa vizuri kweli yaani....

Nilivutiwa na nyumba hii nilivyofika, kwani ukiangalia ukuta kwa nje umependeza, kwa design yake, ukiangalia kwa taratibu utaona jinsi nguzo zilivyonakshiwa......
kwa watakaohitaji huduma hii ninawaletea contacts zake kesho mapema......
Hongereni sana wenye nyumba, na ninashukuru sana kwa kunikubalia kupiga picha na kuja kushare na wadau wenzetu, ili wajue ni wapi wapate vitu vizuri...
NB:
Ninawaomba wadau wote kua kama unajua kuna mahali vitu vinapatikana vya majumbani, iwe ni mapambo, vitu vya ujenzi, naomba usisite kuniambia, unipe contacts zao halafu nitawatafuta na kuwasiliana nao, na kuwaletea nini wanafanya, na ninaomba ushirikiano wenu ninapoomba kupiga picha nyumba zenu, ili kuja kushirikiana na wadau wenzetu, naomba mnikubalie, kwani sitotaja majina ya mwenye nyumba, ama details zozote zitakazofanya kujulikana kua nyumba hiyo ni ya nani kwa upande wetu....ninajitolea kufanya kazi hii bila malipo yoyote.

Asanteni sana, na mungu awabariki.....

8 comments:

 1. Nyumba nzuri sana, big up kwa wenye nyumba naomba namba ya fundi ujenzi kama inawezekana. My email berthamohamed@yahoo.com

  ReplyDelete
 2. NICE HOUSE MY DEAR I LIKE IT ASANTE KWAKUTUWEKEA TUONE.HONGERA ZAO WENYE NYUMBA.

  ReplyDelete
 3. Nyumba ni nzuri sana naomba namba ya fundi alietengeneza jikoni na ukuta wa nje kama inawezekana.email yangu ni lucema45@gmail.com

  ReplyDelete
 4. Hongera sanakwa wenye nyumba. n. very nice design well kuna show room ya wachina pale pugu road opposite na quality centre wanatengeneza majiko kama hilo hapo juu na izo bathroom set. wanauza na fanicha nyingine kwa ujumla. they very good na bei zao sio mbaya. unaweza ukatembelea hapo. kazi njema!

  ReplyDelete
 5. nice,twasubiri hizo contacts zao hao mafundi.thanks

  ReplyDelete
 6. Tupatie namba ya huyo fundi tafadhali ni muhimu kwake pia kwani tutatangaza kazi yake.

  ReplyDelete
 7. hongera kwa wenye nyumba jamani nimeipendaje japo kwa sasa cwezi jenga najipanga kurudi class ila kwa hii nyumba nimehamacka.

  ReplyDelete
 8. pls jmn nimeipemda iyo nyimba unaweza kuweka no za fundi,na pia dada naitaji msada wako coz mna nataka kuanza kujenda sasa nimependa iyo plan ya nyumba pls nijuze kuhusu kupta iyo plan na fundi,email yangu ni lynangambo@yahoo.com

  ReplyDelete