Wednesday, November 23, 2011

Shear butter products & Vaseline products helped my rough skin...

Hapa kitu bila make up...... 


hii musk ni rahisi sana kuitumia, na sio ya kubandua, ikikauka unaosha na maji ya uvugu vugu.......
Vaseline cocoa butter hua haitoki kwenye pochi yangu,, ukiangalia mikono yangu na miguu yangu na magoti yangu sina sugu hataaaaaaaaaaaaa, na ina flavour ya chocolate. yaani tahadhari weka mbali na watoto........mkorogo sio lazima, ukitumia body products ambazo ni orginal, zinafanya kazi...... maana tuangalie na jua hili na hii mikorogo, si unaiva jamaniiiiii) I love every part of my body,,,

Kama zinavyoonekana hizi products za shear butter, hapo kuna shear butter scrub, shear butter lotion, na shear butter. Plus vaseline cocoa butter deep conditioning. Bila kusahau chocolate musk.

Hizi products kwa kweli zimenisaidia sana sana, nilivyokua mjamzito nilikua ninapaka sana sana hiyo vaseline deep conditioning, tumboni pamoja vaseline(mafuta ya mgando) huwezi amini ila ndio hivyo sijatokewa na strech mark hata moja.

Kwa atakae hitaji zinapatika hapa homez deco, just give me a call;

Kwa wa mikoani tunazisafirisha pia.

NB: Ziko pia za watu wanaosumbuliwa na chunusi, scrub na mafuta yake. (MAFUTA HAYA HAYAJACHAKACHULIWA NI ORIGNAL, NA TOKEA NIMEANZA KUYAUZA SIJAWAHI KUPATA MALALAMIKO YA KUA YAMEMUHARIBU MTU AMA NINI, NA HAYACHUBUI, NI NGOZI YAKO INAKUA SMOOTH NA MOISTURE).

Karibuni katika ulimwengu wa kutumia products orignal.

6 comments:

 1. Hey Silyvia,
  Please naomba niambie unauza shs ngapi, coz hata mimi niko prego na niko nje ya mkoa, ili nikuagize niweze kupendeza kama wewe.
  mdau Arusha.

  ReplyDelete
 2. shear butter @ ni 45,000, yaani mafuta, na scrub. lotion yake ni 30,000. vaseline tube ni 25,000. ukiwa ready, ni2mie m-pesa namba yangu ni 0713 - 920565, usafirishaji ni 4,000 na dar express bus karibu.

  ReplyDelete
 3. Sylvia kwa hiyo unapaka lotion zote mbili kwa wakati mmoja? maana umesema shear butter lotion na vaseline conditioning lotion. na vile vile naomba kujua usoni unapaka nini? mimi nina oil skin je zinanifaa?

  ReplyDelete
 4. This comment has been removed by the author.

  ReplyDelete
 5. ndio, unajua, unapoa kua in that stage, tumbo linatanuka, linakuja kutoa michirizi, na hii ni kwasababu linakua ni kavu, unatakiwa kupaka mafuta mengi ya kutosha, ili tumbo linapokua linakutana na mafuta.

  itakusaidia sana sana, yaani nitapiga picha utaona sina mark hata moja. ila nilifanya uzembe sikufunga tumbo, ndio ninataka kuanza kufanya sit ups

  ReplyDelete
 6. dada silvia kwa oil skin zinafaa pia

  ReplyDelete