Monday, November 28, 2011

City gardens - with Jossyanne in USA

hapa ndio moja ya citty garden, imesheheni mauaaaa

Emagine hapa ndio mmazi mmoja paleYaani acha tuu, mi nitapiga za kwetu hapa dar. ila naomba kwa wale walioko mikoani, pls pls, naomba nitumieni picha za city garden za mikoa yenu, nimeambiwa mwanza inaongoza kwa usafi, then moshi. so tunaomba mtutumie picha tujionee wenyewe. Nawashukuru........(mama Brian wa mwanza nakutegemea kwa picha mwanza)

No comments:

Post a Comment