Monday, November 21, 2011

How is your weekend!!

Weekend yangu ilikua kawaida tuuu, thanks to God, jaydan mzima wa afya, na tunaendelea na utundu tuuu.

Kila kitu kinapangwa na Mungu sisi binadamu ni watendaji tuuu, tuendelee kumuomba mungu na kutenda yanayompendeza maana hatujui siku wala saa.

Nawatakia siku njema.

Sylvia - a.k.a Mama Jaydan

No comments:

Post a Comment