Friday, November 11, 2011

Table center piece decoration


Tumekua tunajisahau kwenye urembo wa mezani, sio lazima uwe ni wa gharama, unaweza kufanya mwenyewe na ukawa creative kwenye meza yako.

Hizi ni baadhi ya center piece ambazo unaweza tengeneza mwenyewe..

Any way, nina kibarua kikubwa cha kwenda kutafuta bei ya maua fresh na niwaletee bei zake, unachotakiwa kufanya ni ku nunua flower verse, na uwe unaiweka maji, then maua unayakata kiupande kwa chini kwenye shina ili maji yaweze kuingia na inasaidia maua kukaa muda mrefu. at least 3-5 days.(boga pia laweza kua ni flower verse, toa tuu nyama ya ndani)

No comments:

Post a Comment