Thursday, November 24, 2011

Roses Arrangment

Arrangment iko tayari

Nilichagua roses, red & orange

Akiyaandaa, na hua yanapunguzwa majani pia

kukata na mkasi ni lazima

Anayapanga kwenye verse

Na hapa nilepewa zawadi ya maua aina ya caarnations......nawashukuru sana.

Maua niliyoyaongelea yanayopatikana Hapa nyumba, yana kaa kwa siku zifuatazo kama ninavyozitaja;

  • Tiger lilies yanakaa kwa siku 4 -5 
  • Roses siku 3-4
  • Carnations siku 6-7
  • Heliconia, Ginger, tube rose siku 5-6
  • Anturium siku 7-10
Kazi kwako sasa ndugu mdau.... chagua aina uipendayo, na bei ni nafuu mmno roses, zinakua pcs 20 kwa tshs. 2,500 - 3,000.

No comments:

Post a Comment