Thursday, November 10, 2011

Curtain Rails

HapaPazia letu liko tayari
Fundi akifanya final touches
Tuna taste kama rail zetu zinafanya kazi,

Hapa tumeweka sheer 
Nina taste hizi kamba, na pia uimara wa rail ilivyoshika ukuta, (isje leta balaa), then ninampa go ahead fundi kuweka pazia sasa, baada ya mimi kuridhika na uimaraFundi akifitisha kamba,
Leo nimeona tuongelee kuhusu curtain rails, hizi kama zinavyoonekana hapa, moja ni ya pazia nyepesi, na ingine ni ya pazia nzito, sasa basi kwa wale wasipenda mambo ya urembo wa curtain pole, ninawashauri watumie hizi, ni nzruri, imara, na ni rahisi kutumia, haiharibu ukuta pia.(curtain poles sio kua zinaharibu ukuta hapana, hii ni kwale wanaopenda vitu simple).

2 comments:

  1. jamani uwe unaweka mambo humu x kwa x bac, lkn ww unapotea sn, jtahd bac maan tunayapenda mambo ya humu, hasa interior decor mana nasi tunajfunza.
    J.

    ReplyDelete
  2. Asante kwa ushauri, nitajitahidi sana sana, si unajua nilikua kwenye ulezi, as u know i am a single mum, you can emagine love.

    ReplyDelete