Thursday, November 10, 2011

Miaka 5 ya 8020 fashionsNinapenda kuchukua nafasi hii kwa kumpongeza, Shamim a.k.a Zeze, kwa kutimiza miaka 5 ya blog yake. kiukweli, Party ilinoga, nilikutana na wateja wangu, marafiki, dada zangu etc, it was fun, na kwakweli tulipendeza acha mchezo, hizi ni baadhi ya picha nilizochukua, kama unavyoona wote tulifurahi, na kila kitu kilikwenda sawa, kuanzia, mapambo, vinywaji, chakuja, mshereheshaji/MC - Dina, yaani walijipanga kisawa sawa, nawapongeza kamati yote iliyoandaa tafrija hii.

Nimependa kazi ya lebo yake ya B2A

Shamim amekua akinisaidi kila ninapohitaji msaada wake, ninakushukuru,

Ninakutakia kila la kheri katika safari yako na ujasiriamali, na mungu awe nawe katika safari hii ya ujasiriamali.

(Wanawake tusaidiane, tushirikiane, tupendane, kwa kufanya kivi tutajenga na sio kubomoa).

NB: Speach ya unlce Michuzi, ilinifurahisa sana sasa.

No comments:

Post a Comment