Monday, November 7, 2011

I am 9 month old.....( thanks Lord 4 helping raising my baby boy JAYDAN)


Ninamshukuru Mungu kwa kila jambo, na kwa kunipa moyo na kunikuzia Jaydan wangu ua la moyo wangu. Nimekuwa kimya kiasi kwenye ku update blog, nawaomba radhi, kwani najua wengi wenu mnajua swala la kua mama, mwanzoni nilikua ninaona ni simple na tumbo langu, kwani nilikua ninatembea nalo popote pale(hahhhah).

Ila sasa Jaydan wangu anahitaji attention yangu, kazi nayo so sometimes ku balance inaniwia vigumu. Ila nimekua nikifanya kazi kama kawaida za wateja.

NASHUKURU KWA KUNIELEWA, MAAANA SIJAPATA MALALAMIKO MENGI MPAKA SASA, HIVYO INAASHIRIA WENGI WENU MNANITAKIA MEMA MIMI NA MWANANGU.

NACHUKUA FURSA HII KUWAPONGEZA KINA MAMA WOOTEEEEE, KWA KAZI NZURI WANAYOIFANYA YA KULEA FAMILIA ZAO.  

Love you all.....

Sylvia - Mama Jaydan

No comments:

Post a Comment