Tuesday, November 8, 2011

Ladies!!!!!!!!

Hii ni pochi , na begi la kuwekea Laptop,nilichopendea mimi hii pochi ni kua ukiwa umebega hakuna atakaejua kama umebeba laptop, hasa kwa wale wezi, na una beba na kutembea nalo kokote, maana kwenye gari ukiacha, imeibiwa.

Mimi inanisaidia sana, maana sina haja ya kubeba pochi na begi la laptop, maana yananielemea, na mwili wenyewe sasa! haaahahahhah

Pls, ukihitaji, toa order. na utaipata ndani ya wiki 3, pochi hizi zinatokea USA na England.

Inapatikana ktk color, black, maroon, red, animal print etc.

2 comments: