Tuesday, November 22, 2011

Pillow ProtectorHivi mnajua kua unaweza kuulinda mto wako usichafuke na mafuta na majasho? Hizi ni pillow protector, yaani huna haja tena ya kununua mito mara kwa mara, unachofanya ni kuuvalisha kwanza mto wako hii protector, then uvalishe pillow case.

Soon zitapatikana Homez Deco.

No comments:

Post a Comment