| HapaPazia letu liko tayari |
| Fundi akifanya final touches |
| Tuna taste kama rail zetu zinafanya kazi, |
| Hapa tumeweka sheer |
| Nina taste hizi kamba, na pia uimara wa rail ilivyoshika ukuta, (isje leta balaa), then ninampa go ahead fundi kuweka pazia sasa, baada ya mimi kuridhika na uimara |
| Fundi akifitisha kamba, |
jamani uwe unaweka mambo humu x kwa x bac, lkn ww unapotea sn, jtahd bac maan tunayapenda mambo ya humu, hasa interior decor mana nasi tunajfunza.
ReplyDeleteJ.
Asante kwa ushauri, nitajitahidi sana sana, si unajua nilikua kwenye ulezi, as u know i am a single mum, you can emagine love.
ReplyDelete