Monday, October 26, 2009

3 days missing

Hellow my funs, nilikuwa sipo for 3 days online, nilishikwa na ka malaria ila iam good sasa.

Sylvia - Director & Co - Founder of Homez Deco

7 comments:

  1. pole sana, maana nilikuwa kila nikiingia nakuta base ya kitanda hahhahha lol.
    anyway karibu tena kijiweni kwako, na kazi njema ya kutupa mandhari za kuvutia ili zitutie mashamsham ili tuzipambe nyumba zetu.

    Mumy G,Swiss Gnv

    ReplyDelete
  2. jamani pole sana dear.... mi nikawa najishangalia "kaenda wapi huyu mpendwa mbona katususa sana jamani" pole sana Mungu ataendelea kusaidia utapona kabisa...na well come back.....

    ReplyDelete
  3. Nawashukuru sana, na asanteni kwa upendo wenu mlioninyesha.

    ReplyDelete
  4. mie mwenyewe leo nilisema naingia nikutane na base ya kitanda...kwiwkwiwkwiw....ashukuriwe Mungu unaendelea vizuri.

    WELCOME BACK

    ReplyDelete
  5. hahhaahhaah hahahah, asante sana. AMEN, MUNGU NI MWEMA.

    ReplyDelete
  6. pole dada kwa kuumwa,
    Jitahidi utuonyeshe mor coffee tables, hasa za mbao ngumu za ki-tanzania zaidi, si nyepesi kama hizi za kichina huko madukani. Natafuta kweli coffee table, hizi za kichina mwanangu kashavunja.......... mh!

    ReplyDelete
  7. pole mpenzi! kweli unaweka vitu vya maana! naomba uniwekee sofa za vyuma!

    ReplyDelete