Thursday, October 15, 2009

nimeshindwa kujizuia lol!!!!

Bei ndio hiyoooo Tshs.500,000/=

2 comments:

  1. Dear Sylvia, napenda sana blog yako na hii show case nimeipenda sana. Naihitaji sana ila nakaa mkoani inaweza kubebeka kweli nikaiweka kwenye bus ikafika salama maana naona kama kuna sehemu kuna vioo? Nikija dar lazima nifike hapo dukani naweza hata kujipatia maua na hayo mapambo mapambo.

    ReplyDelete
  2. Hi fun, usihofu inafika kwani ni rahisi vioo vitawekwa kivyake, na hata itakapofika home, ni rahisi kuiweka, unapachika tuu vioo na itakuwa poa kama kwenye picha vile.

    ReplyDelete