Friday, October 2, 2009

More shoe racks just for fun


hebu nisaidieni sijui itawafaa wanaume maana wao si ndio hawana pea nyingi za viatu ama!!!




jamani mmhhh ina maana ndio kuna shoe rack ya viatu vya kulalia pekeee ama!!!








Hii nayo kali sasa sijui utakuwa na vingapi kwa sisi wenye pea nyingi wajameni!




















Hapa napo waonaje?









































nimeipenda hiii!!!












2 comments:

  1. Nimekukubali mamaa Deco.. Me nimefagilia hyo shoe rack uliyosema inawafaa wanaume(iliyopinda-pinda). Inapatikana kwa bei gani?
    Translator.

    ReplyDelete
  2. Thanks, shoe rack hizo hazipatikani nimekuwa mkweli ila nitajitahidi kutafuta designs then nitawaonyesha kama mtaikubali basi ntashukuru sorry kwa usumbufu. Sylvia-homez deco

    ReplyDelete