Friday, October 2, 2009

Shoe racks(hizi hazitengenezwi) Ninakaribisha wadau wangu mnitumie post kwenye email yangu (sylvianamoyo@yahoo.com) nitaziweka kwenye blog bila kusita

Namshukuru mdau wangu Zuhura kwa posts nzuri anazonitumia, ameamua kujiunga nami kusaidia kuelimishana,


2 comments:

  1. helloow hivi hii ni shoes cleaner au maaana

    ReplyDelete
  2. hiyo ni shoe rack ndugu yangu, hata mie ilinitoa ushamba nilivyoiona 4 the first time, yaani hizi fashion za karne hizi!! kazi kwetu tushindwe sie tuuu wajamani lol!!! ahaahhahahahah Sylvia-homez deco.

    ReplyDelete