Tuesday, October 6, 2009

Hapa kweli mtoto atabisha kwenda kuoga?

Haya ni mataulo ambayo yamekunjwa kwa mifano ya wanyama, hii itasaidia kwa watoto, inapendezeza sio,
kikapu ama pochi kina dada hawajaachwa nyuma

huyu nae ...........

imenichukua dakika kujua ila ni mamba huyoo lol!




dog huyooooo



tembo, lovely is it?






huyu sijui ndio spider man ama batman ............... hahaahhaha






No comments:

Post a Comment