Monday, October 26, 2009

Vioo vya ukutani Vyote ni Tshs.130,000/-



5 comments:

  1. Pole kwa kuumwa mamii,sasa dear hivi vioo nimevipenda ,Je hakuna vile ambavyo unaweza kuweka japo deodorant,vipodozi viwili vitatu na kama vi drawer vya kuweka accesories?maana hizi nzuri kwa sie wenye watoto watundu ,hichi kiko juujuu kitasaidia sana na kiko movable sana

    ReplyDelete
  2. Hi, asante sana, sasa umeona hicho kioo cha kwanza na cha pili kutoka juu, kuna kama ki stand chini yake, hicho kitakusaidia kuweka vipidozi vyako na kwa ku Edit hicho kioo tunaweza kuongezea kama kishelfu kwa pembeni yake,ila bei itaongezeka kidogo tuu, si unajua kanuni yangu ni COPY - EDIT - PASTE.

    ReplyDelete
  3. mhhh,my dear...haya ngoja nidigest then nitarudi
    usije ukaona kimya maana si unajua mambo ya pesa ni mengi

    ReplyDelete
  4. My dear,
    Nimependa hicho kioo cha mwisho kuweka kwa corridor yangu mpz nataka unapokitundika kifike chini ili niweze kujiona kuanzia utosini mpaka unayo nikiwa nimeulamba mdogo wangu.Sasa waweza unganisha kwa bill yangu?Dar Ray

    ReplyDelete
  5. Hi sis Ray, hakuna shida karibu sana. kikiwa mpaka chini ni 190,000/-

    ReplyDelete