Monday, October 5, 2009

Removing Stains in different areas

Habari za weekend, My weekend was great.

Leo nimeonelea kuwaletea vipengele vya jinsi ya kuondoa madoa sehemu mbali mbali, na mniwie radhi kwa kutumia lugha yaa kingereza kwani ningechukua muda mrefu sana kutafsri naomba tusaidiane kwa hilo

Enjoy!!

1 comment:

  1. Ha ha ha! Tutafsirie tu mama, angalau tupate mwanga kidogo wa hayo mausafi. C unajua c wengine kidhungu ni tatizo!...... Translator!

    ReplyDelete