Thursday, October 15, 2009

Kwa wale tunaopenda mmechisho hizooooooo - Homez deco toa Order

Bei ni Tshs. 950,000/= kwa set nzima kama inavyoonekana ila ni bila godoro (bed side table inakuwa ni 1) najua bei ni kubwa kwa hali ya sasa ila vitu vizuri vyahitaji gharama kidogo na najitahidi kweli kujibana na mimi pia ili wote tufurahie huduma hii niitoayo kwenu.
Bei ni tshs. 850,000/=

Bei tshs. 1,090,000/=


Bei tshs. 970,000/=



Bei Tshs. 1,060,000/=




bei tshs. 880,000/=





bei tshs. 1,040,000/=






bei tshs 1,050,000/=







4 comments:

  1. hi mamaa,kwakweli leo ndo nimeifumania hii kitu,kwanza hongera sana.pili mi mbovu sana wa vitanda please nielekeze vizuri sisi wengine washamba,BP mwanamboka ni kituo kipi cha daladala?
    nimependa sana kazi yako,i'll be your client inshaallah

    ReplyDelete
  2. nakushauri uweke vitanda na magodoro.unajua kutafuta godoro hiyo ni kazi mpya. fanicha zako ziko juu,ni nzuri sana,tuwekee picha zaidi,biashara matangazo bibi!!!

    ReplyDelete
  3. asante kwa ushauri, magodoro mbona yako mengi tuuu, kwa watu wa dar, ukienda mmnazi mmoja yako, town yako, kinondoni biafra yako, kweli yako mengi tuu ila ukinipa kazi ya kukutafutia na ukanipa juice ya kupooza kooo nitakutafutia usijali, hahahah thanks again

    ReplyDelete
  4. Asante sana anonymous wa kwanza, ni upande ule ule wa Bp petrol station ya mwanamboka kama unaelekea studio trafic lights kuna maduka mapya ambayo kuna saloon ya kiume kubwa ndio hapo. karibu sana kama hujaelewa pls nipigie simu.

    ReplyDelete