Monday, October 12, 2009

Vyumba vya watoto wachanga na kunyonyeshea

Leo nimeona niongelee vyumba vya watoto wachanga, najua kila mtu ana aidia yake ya kutengeneza chumba cha mtoto wake mtarajiwa, hizi ni baadhi tuuu ya vyumba hivyo, na kochi myaonayo hapo ni kwa ajili ya mama kunyonyeshea ama kum bembeleza mtoto. Rangi pia zipakwe zile laiti/nyutro.









No comments:

Post a Comment