Tuesday, October 27, 2009

lovely & simple is it? Tshs.320,000/=

6 comments:

  1. Hi silvia,

    320,000/= pamoja na godoro?ni upana gani tano kwa sita au sita kwa sita? please advice muda wa kukipata ni uleule ndani ya siku saba? thanx

    ReplyDelete
  2. Hi, hii ni tano kwa sita, na ni bila godoro, na muda wa kukipata ni siku ya saba tokea ulivyotoa order.

    ReplyDelete
  3. TUWEKEE BEI ZA DINNNIG TABLE PLEASE BILA KUSAHAU DESIGN

    ReplyDelete
  4. Kitanda kizuri sana,pls naomba design za hanger ya kutundikia pochi,nahitaji sana.Asante

    ReplyDelete
  5. Habari!Kitanda hapo juu ni kizuri sana na kipo simple!
    Kwakweli unajitahidi Mungu Aendelee kukusimamia.Swali langu ni je,inapendeza kitanda cha chuma kukiweka masterbedroom au ni kwa chumba cha kawaida tu?Pili naomba utusaidie design za dining table za mbao na bei zake.Asante.

    ReplyDelete