Pages
HOME
CURTAINS
EXTERIOR
INTERIOR
METAL DESIGN
COLOUR
GARDENING
ADVICE
HOME GOODS RESALE
Tuesday, October 27, 2009
Jinsi ya kutandika kitanda
Katika pita pita yangu kwenye blog za wana blog wenzangu nikakutana na swali lililoulizwa kuwa anaomba ushauri wa kutandika kitanda, sasa basi haijalishi unakitanda cha aina gani, tandika shuka lako lililo safi na ikiwezekana ulinyooshe vizuri, halafu panga mito yako, sasa hapa inategemea una mito ingapi. Kama una mito miwili basi iweke hiyo na kwa kupendezesha zaidi tandika mashuka ambayo ni set. sio mbaya ukichanganya rangi ila ziendane. Kama katika picha hii.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment