Tuesday, October 20, 2009

dinning tables - COPY - EDIT - PASTE

funs wangu nilikuwa kimya kwenye hizi dinning table, kwani nilikuwa na kibarua cha kutafuta jinsi ya kureplace hicho kioo kwani nilishauriwa kuwa kwa watu wenye watoto italeta maafaa. Sasa nimepata ufumbuzi wa hilo. badala ya kioo tutaweka tanga stone. kwa wote wanaohitaji karibuni ama tuwasiliane kwa maelezo zaidi. bei maelewano. Hakishindikani kitu Homez deco.


4 comments:

  1. hi sylvia,vituvyako viko bomba sana kaza buti mamaaa.ila sorry naweza kupata vitanda vya zile mbao nyeupe?sijui wanasema nimbao za japan?! nimependa sana hizo design zako za vitanda ila sitaki chuma my dear.sijui utanisaidiaje?

    ReplyDelete
  2. Hi, thanks a lot, sasa hivyo vitanda uvitakavyo pls karibu dukani uone catalogs then uchague na tutaelekezana vipi utapata kwani ni tunaorder straight from China na ni 1st grade.

    ReplyDelete
  3. Hi mamito,
    Uko juu sana, Big up, Nimependa dinning table ya pili kutoka juu. how much it costs?

    ReplyDelete
  4. thanks a lot, itakuwa ni Tshs. 800,000/- ila top ya juu ya meza itakuwa ni kioo.

    ReplyDelete