Monday, October 19, 2009

Tip of the day.


Curtain valances


Habari za weekend, weekend yangu ilikuwa nzuri nashukuru mungu, nitakuwa ninawaletea tips za siku, na kama mjuavyo mambo ni mengi ambayo ninataka kuwaletea hivyo ninayapangilia ili kuwaletea mambo mazuri.

Tip of the day ni kuwa kama unataka kupendezesha dirisha lako, tumia cartain poles mpya, na kama una curtain poles  za zamani basi lipambe kwa kuweka curtain valances

No comments:

Post a Comment