Tuesday, October 20, 2009

ubunifu huoooooooo(hahahha)

5 comments:

  1. jamani nimependa huyo kuku,ila staki jogoo nataka ya kuku jike ,unaweza uza kwa how much maana napenda mayai sana sasa kuyaweka kwenye litray lake ni NO kama kuna mambo mazuri kama haya

    ReplyDelete
  2. hiyo design ya tray ya mayai nimeipost tuuu ila sina nisiwe muongo jamani, nikipata nitawajulisha, hata mie nimeipenda kwa kweli ndio maana nikaona si vibaya ni sheee na funs wangu pia.

    ReplyDelete
  3. kwa kweli hata mimi nimeipenda sana, ila hiyo ya yako iwe ya kuku jike kama Anonywa october 20,2009 6:09am
    Mumy G, Swiss Gnv

    ReplyDelete
  4. Poa,fanya faster faster,i bet utapata wateja kibao!
    BEST OF LUCK NA MUNGU ABARIKI KAZI YAKO YA MIKONO YAKO

    ReplyDelete