bei shs.81,000/= wapendwa msiogope bei, haya maua ni mazuri kama mnavyoyaona unaweza kudhani ni fresh kumbe ni artificial na flower verse zake ni seramic. unakaa nayo kwa muda mrefu sana na una save cost kwa wale wanaopenda ku save cost basi hapa mmmefika.
table runner/throw @20,000/=
maua makavu huwekwa chooni na chumbani yana manukato mazuuuuriiii badala ya kupulizia spray mara kwa mara nashauri yatumike haya mfuko ni tshs.39,000/=
vyombo pia haviko nyuma na ni 5* hotel standard