Monday, July 1, 2013

MAFUTA YA SHEA BODY BUTTER & VASELINE........YAMEFIKA YANAPATIKANA HOMEZ DECO....WAHI SASA......

 Mafuta haya ya shea body butter, ni mazuri kwa ngozi ya aina yoyote ile, na hayachubui, yanakupa ung'aavu asilia wa ngozi yako.....nani orignal, .......tokea tumeaanza kuyauza sijawahi pata malalamiko ya kua kuna mtu yamemkataa, ama tatizo lolote lile,,,na ukikaa nayo vizuri, kopo hili linaweza kukufikisha hata miezi miwili......yanafanya ngozi yako iwe na moisture muda mwingi.....na hivyo unakua haupauki ngozi.

 @ 45,000/-
 Vaseline hii ya maji, jamani naipenda.....yaani ukiipaka, unakaa muda mrefu ngozi inang'aa, hasa na hiki kipupwe.. ndio usiseme. ama ukitoka outing kina dada/mama.... ukapaka haya mafuta....ngozi yako itang'aa na haipauki kwa muda mrefu......(ama umevaa nguo fupi, ama ya wazi...ukipaka mafuta haya....ngozi inameremeta).......@ 25,000/-
 Family size.....vaseline ni nzuri mnooooo karibuni nyote....@ 65,000/-
Mask za usoni.....za matunda mbali mbali......bei tshs. 6,000/-

Karibuni nyote......

nb:
bidhaa zote zinatoka Marekani. nani orignal......

No comments:

Post a Comment